Tanzania tusilazimishe vitu, hebu tutafute mchezo tunaouweza tuwekeze zaidi huko

KOROE

Member
Joined
Dec 6, 2017
Posts
90
Reaction score
736
Hii nchi kwa suala la kandanda tukubali hakuna kitu,

Hivi kwanini tusitafute mchezk tunaouweza vema na kuumudu tukawekeza huko naamin tungesikika kimataifa kuliko kulazimisha michezo kama soka..
 
Huyu mtangazaji wa mechi ya Kilimanjaro na Rwanda naona, atajamba kabisa, kila wakati ni ajiiib, na goli haipatikani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…