Tanzania tutacheza mechi za kimataifa ratiba hii

Hii Tifutifu ilipaswa isiwachukue wachezaji wa Simba na Yanga ili wabaki kujiandaa na michuano ya msingi ya CAF CL kuliko kwenda kupoteza muda kwenye hayo mabonanza.
 
Hivi bulgaria ni timu kali duniani? Ni muda mrefu sijaisikia ikishiriki michuano ya kombe la dunia na uefa. Kuna timu ya san marino ingecheza na tanzania mechi ya kirafiki tuone nani ni mbabe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…