Tanzania Tycoons List...

Tanzania matajiri ni wengi sana.
Kipindi cha azimio la arusha na uhujumu uchumi zilisababisha matajiri wengi kufilisiwa na mali zao kutaifishwa.
Kuanzia hapo watu wakajifunza kuficha utajiri wao.
 
utajiri ni utajiri braza....KAUPATAJE NI KISA KINGNE...UTAJIRI WAKE UNAUMIZA VP WANANCHI WENGNE KISA KINGNE PIA .....UTAJIRI WAKE UNAINUA WATU AU UNAJIINUA WENYEW WAKAT WENGNE WAFA KISA KNGNE....
 
Why are we discussing the wealthy of others rather than discussion how to grew rich?can this discussion help you to improve your current financial position?We Tanzanians lets change and work hard we need thread that can improve our well being!!

Nasema hivi usingecomment Hakiyanini ningejitoa JF! Nilianza kuishiwa na nguvu kabisa ubarikiwe sasan Manyusi!
 
MM nadhani tuungeelimishana kwanza jinsi ya kupima utajiri wa mtu binafsi kabla ya kuanza kutaja majina. Kwa mfano mtu akimiliki vitega uchumi (assets) vya thamani ya say TZS 10 million ambavyo vimekua financed na mikopo say kutoka banks kwa TZS 8 million na mtu mwenyewe TZS 2 million, utajiri huyo mtu ni bei gani? Issue ni je utajiri ni networth au assets?
 
If the question was who is the most richest man in Tanzania then the answer would be me......what?...minority executives??....let me think.....the..the legislative, the judiciary and the............

I'm just tired, sorry I don't even know what I'm writing. Oh the question was people...ok people ...yah...it is me.
 
Nadhani kwa sasa itakuwa inaongozwa na Bakhressa kisha Mkewe Mkapa then Mwaziri wa serikali hiii bila kumsahau Lowasa


Asanteni, Nadhani mimi niliiomba hii topik kumbe nyie mmekwisha izunguka. full cycle!!!! 🙂

Kulingana na majadiliano wana JF 187 inaeleke kua uwezekano wa kuanzisha biashara hapa Dar au kokote kule nchini upo. Hawa watu kama hawana hela watakwambia wapi pakupata. tusitake kujua hela walizipata kivipi? hiyo ni kazi ya usalama wa taifa na vyombo vya serikali. Lamuhimu kuwepo na record zote za mikopo watakayotoa na iwe ya kihalali. kila kitu kupitia benki au Dolloite and Touche or Ernest and young or any reliable local financial or management institution. Kama Baharesa yeye hafichi sana. wenye kuficha itakuwe wele viongozi wa serikali lakini jamani hii kufuatilia walivopata hela njia rahisi sana zipo ambazo na wao watazifurahia. Tatizo ni kwamba hatujauzoea Ubepari vizuri. Si wafanya biashara, si wananchi wananchi wengi tu tunaendelea mabadiliko ya kupimanisha thamani ya utu na kitu. tutabadilika jinsi tunavokwenda. Ni vizuri hawa matajiri kuwekeza hapo hapa bongo kama wengine katika nchi za free markets. kukuza soko lao la nyumbani ni utajiri wao utadumu kihalali. Asanteni kwa Fikira Zenu!!! Awesome, we gonna share the bread
 
vipi Jk na familiayake hawaingii humu kwenye list?
 
Ya bakharesa(Tuhuma za kukutwa na kura bandia) sasa nimeanza kuamini, hii ni kweli!
 
Kuna matajiri wengi tu Arusha kama Sunny trasport, Mrema-Impala, na wengine wako kimya. Wafanyabiashara wengi wa Dar wanajulikana lakini kuna matajiri arusha wenye millions of dollars lakini watu hawawafahamu.
 
Nadhani kwa sasa itakuwa inaongozwa na Bakhressa kisha Mkewe Mkapa then Mwaziri wa serikali hiii bila kumsahau Lowasa


Mbona Dau wa NSSF hayupo na yeye ndiye anayewatajirisha Quality group?
 
nadhani wote mmekosea hii ndio list ya matajiri hapa bongo.

1. Rostam aziz
2. Anna mkapa
3. Benny mkapa
4. Fredrick sumaye
5. Bazir mramba.
6. Bahresa

mtu mwingine aendelee kuongea list ili wafike 20.

7. Lowassa
8. Alihassan mwinyi
9. J. S malecela
9. A. Chenge
10. Daniel yonna
 
nadhani kuna umuhimu wa kui update hii list..ridhiwani nadhani atakuwemo kwenye top ten..
 
Nini sifa za matajiri wa Tanzania? deal na serikali au ingenuity and innovativeness yao? Maana list hii could mean one thing in 2007 and does mean something else in 2011.
Bado napata kigugumizi kujua hawa tycoons maana kuna mambo mengi hayajakaa sawa
 
Ok wakuu waliotajwa hapo wote sehemu kubwa ni mafisadi kama vile mzee wa vijisent ,lowasa na wenzake wamewaibia watanzania na ndio wafadhili wa ccm kwa sehemu kubwa naona mjadala uwe juu ya namna ya kupata utajiri ulio wa halali maana wengine makampuni yao yanaendeshwa na majini na wengine wameua ndugu zao iliwapate utajiri huo ni upumbafu.kutoka kimaisha inawezekana let us find the best way how tanzanian can escape poverty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…