Tanzania Tycoons List...

Kichwa kizuri kiwe;

LIST YA WEZI WAKUU TANZANIA

Mengi is excluded.


Yap!!!! Katika kuandika list ya matajiri ni lazima tutenganishe wale wezi na wale walio struggle kuupata utajiri. Sifurahii kuona watu wanataja vigogo wa EPA, list of shame na wale wengine ambao kwa sasa hawajahusishwa na UFISADI wa sasa lakini UFISADI wao waliufanya miaka ya nyuma na sasa wanakula kwa ulainini kwa kujidai kuwa wao ni wasafi na wanashangaa current mafisadi wakati wao ni past fisadis. Nawasilisha mkuu.
 
Mbona Lowassa sijaona jina lake popote pale? Kati ya Lowassa na Chenge nani ana vijisenti zaidi?
...Lowassa ni noma..Kwani Sumaye na Big Ben vipi tujisenti twao hatutoshelezi kuingia kwenye hii listi??
 
Mbona hamna mtu aliyewataja wale matajiri wa migodi Arusha.
au dau lao dogo???
 
wengine mnawaonea jamani,hivi Tarimba Abbas ana hela gani ya kuorodheshwa hapa?mbona ni mwangaikaji tu kama sisi?
 
Mbona hamna mtu aliyewataja wale matajiri wa migodi Arusha.
au dau lao dogo???

Aaah hao matajiri wa madini Arusha wana makeke mengi tu kwa kuwa mji ni mdogo lakini sio matajiri wa kuingia kwenye orodha ya matajiri wa kueleweka.

Mtu anayeoshea gari lake bia naye ni tajiri au limbukeni?
 
Mbona Mrema wa Impala Hotel, Naura Springs Hotel na Ngurdoto Mountain Lodges ukiacha proporties zingine hamjamweka na badala yake mmeweka mafisadi mkaacha wazalendo? It contains some people who do not deserve the list but rather they should have their own list of most shameful guy in Tanzania by public interest. Ufisadi hauwezi kumfanya mt kuwa katika list ya Tycoons bali fedha na mali yenye accountability na isiyo na swali kutoka kwa umma. Mtsimbe you need to go back and make a list that is workable and acceptable by public should you find it necessary to eithr inform Wadanganyika or inform yourself. NOTE: THE COUNTRY MUST BE PROUD OF HAVING ALL THE TYCOONS BECAUSE THEY ARE BENEFICIAL TO THE ECONOMY. Now with the list is this statement true?
 
Wazee... sina uhakika wa ilst hiyo hapo juu ila kwa Huyu Namba 6 naomba kufahamishwa..

Reginald Mengi: The IPP Group, Financial Consulting firm (IPP Consulting), Coca-Cola (Coca-Cola Kwanza, Bonite Bottlers and Kilimanjaro Spring Water), (IPP Bodycare Ltd (IPP Media). These include The Guardian Ltd; Nipashe, Alasiri, Kasheshe, Independent Television Ltd. (ITV), East Africa Television (EATV, formerly Channel 5)), Radio ONE, Sky-FM (in a joint venture with BBC) and East Africa Radio.

...Nafikiri huyu Mzee hamiliki tena CocaCola Kwanza... si miongoni mwa wanahisa..alijitoa.
Mengi anamiliki asilimimia kama tano ya CRDB Bank kupitia IPP Limited. Sina hakika kuhusiana na IPP consulting ...kama kuna mtu ana website yake naomba atujulishe..
 
Na mimi naomba mniweke kwenye namba nane au tisa. Nina uhakika top ten nimo!
 
Duh,

Hii sikuiona. Mkuu your good name please? Manake hatutaki kuweka list ya Nickname tu. 🙂

Ooops unataka jina langu kamili?. Njoo Mbagala ulizia tu mzee wa Hardware utanipata mkuu. Nina Investments nyingi sana na nipo kwenye real estate business za maana hapa Tanzania na Dubai. Ninaitwa Fredrick Patrick Kuzilwa!
 
Jamani nani anaweza kunitajia matajiri wa tanzania ikiwa ni pamoja na kuonyesha thamani za mali zao na walivyozipata.....hata kama kutakuwa na ka historia fupi za hawa watu itapendeza sana
 
sijui kama utaweza kupata data za ukweli kwani matajiri watanzania wengi hawajaupata kwa njia halali kwa hiyo thamani halisi huwezi kuipata kwani hata biashara zao hawatumii majina yao wenyewe. Kwa kuanzia jaribu kuangalia waliopo karibu na utawala wa nchi ndio matajiri wa Bongo. Hii inakuwaje Breaking News? tafadhali waungwana...
 
Last edited:
orodhesha wale mafisadi wakubwa wote, ndiyo ambao angalau tunazo data.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…