Tanzania, Uganda Airforce

We manzi dawa yako ni mimba basi

Swala la supu ya funza niliona kwenye kitabu tena muandishi wake ni mkenya na akisema ni pande za kibera

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Endelea kubwabwaja bw.mdogo.Nilikuwa nataka ushahidi kama wa watoto wa tz wakila kinyesi cha funza
 
Endelea kubwabwaja bw.mdogo.Nilikuwa nataka ushahidi kama wa watoto wa tz wakila kinyesi cha funza
Funza ana kinyesi ambacho mtu anaweza akala?

Ushahidi jina la kitabu nimekisahau nikikumbuka nitakuambia

All in all Tz vs Kenya wote kenge tu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Funza ana kinyesi ambacho mtu anaweza akala?

Ushahidi jina la kitabu nimekisahau nikikumbuka nitakuambia

All in all Tz vs Kenya wote kenge tu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Acha kusema umesahau sema hakipo. Halafu umewahi gundua kwamba hawa watoto wa kibera wana afya kuliko watoto wote wa kitanzania? Yaani utapiamlo huko tz ndio unatawala
 
Skuli niliyosomea hatusomi hayo bt hebu fanya ubadirishe ID

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hamkusoma food and nutrition. You're a joke.
Utapiamlo ni malnutrition.Tanzania hawajitoshelezi kwa chakula & that's why children lack adequate nourishment. Malnutrition si mchezo wewe binti. It weakens the immune system ya mtoto and they become vulnerable to diseases. The diseases can further malnutrition leading to a vicious cycle. Yaani malnutrition, disease, malnutrition worsens... No wonder child mortality rate is higher there than Rwanda and Uganda.
 
Acha utani basi Tanzania chakula mbona ni kingi saana kama hapa kigoma jero ni mikungu mitatu ya ndizi

Badili ID ujiite mrs Richard

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…