Tanzania, Uganda overtake Kenya in major infrastructural projects

Wewe ni kituko! Ila its a good thing you can you use this to your advantage and make money utoke hapo Mathare.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somebody really needs to teach Tanzanians English. What is in the article and what they're discussing are world's apart.
 
Tra Ina collect usd4b so hamulipi mishahara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I was shocked to see that JPM has doubled the TAX collection in just 2 years! That is a huge achievement
Magufuli ukiachana na fujo zake za kukandamiza freedom of expression, ni rais mzuri sana katika maeneo mengi sana, hasa katika Uchumi. Kama anavyosema, baada ya miaka kumi ya uongozi wake, Tanzania itakua nchi tofauti sana hapa EA in terms of physical developments.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha na bado mpo Ldc
 
Congratulations Tanzania.Numbers dont lie..This is not the Tz of the 1990's the giant has risen
Ldc ni ligi ambayo mnapewa loans kwa interest rate iliyo chini mno kwa sababu hamwezi afford commercial rates kama sisi Mic na pia msipolipa deni, mnasamehewa kwa sababu ni kazi bure World bank au Imf kukimbishana na Ldc. Pia hamwezi kopa commercial loans kwa sababu private banks nyingi zinaogopa Ldc. Yaani nyinyi mko kwenye ligi ya kuonewa huruma tu. Usiwahi tena tumia neno "giant" pamoja na Ldc, utachekwa na watu.
 

There are lazy reports, then there is this one.
The only project they found in Kenya is Nairobi to Magadi road for Ksh50 billion?
Lol. There is no point even replying to it.
 
Wizi, upotevu na ushahidi wa 2.4
Trillion waanikwa na kuchapishwa
katika majarida ya kimataifa

Ushauri: Kuliko ndege kuendelea
kukaa Airport, bora zikodishwe.
joto la jiwe kuna maswala muhimu nyumbani na kulingana na maoni ya ndani Nchi yako ipo kwenye giza totoro hebu kawahutubie wenzako.
 
Really? Muwe middle income kwanza ndio muanze kujiita "giant". Tangu lini giant akawa masikini?
Middle income ili mtupite seven times?, hatutaki kuwa middle income kama ninyi, labda mtuhakikishie tukiwa middle income hatutopata njaa, na hamtotupita kwenye infrastructure seven times like we do to you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There is no restriction on LDC countries borrowing Eurobonds, Mozambique, Uganda angola, Ethiopia even lowly Rwanda has borrowed..
Tz has decided to exploit the oppotunity of cheap loans while its LDC, and boy they are realy exploiting this
 
Congo DRC like TZ is a giant both in natural resource and arable land. That is why they are called giants, and yes both were asleep..Tz has woken up
Actually hatukulala kama DRC, tulikua tunajenga solid foundation ya Taifa letu, Amani, umoja na utulivu wa nchi, ambavyo ni vitu muhimu for sustainable economic growth. Kenya walikurupuka kujenga uchumi katika foundation ya matope, sasa hivi uchumi unaporomoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana taarifa ya mleta mada ni kutoka kwa StandardMedia ya Kenya na picha walizokuwa wanatumia kuhadaa watz zilikuwa za SGR ya Kenya. Hahaha! 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…