mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ukiona pesa zimekutembelea fasta waombee ndugu zako wa karibu waishi naisha marefu.
Kwa mfano Chief Goodlove leo hii afiwe na mzazi imekula kwake,au yule msanii wenu wa tandale akafiwana mama yake imekula kwake.
Hili ni tatizo la Afrika nzima hata akina P Square yaliwakuta baada ya mama yai kufariki.
Hiyo ni kwa watu wakubwa ila hata wewe mwenye duka la mangi biashara imikua ghafla ukahamia kariakoo ombea ndugu zako waishi miaka mingi utakuja kunishukuru.