MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Naangalia hapa vyombo vya habari vya Kenya, naona kuna ratiba ya Ruto kufanyiwa mahojiano tena, hii ni mara ya pili kama sikosei tangu aingia Madarakani.
Kwa mtakao fuatilia mtakuja niambia wale waandishi wa habari wa Kenya ni levo nyingine watampiga Ruto maswali magumu tupu, hawaendi kujipendekeza wala kutafuta teuzi.
Sasa je Hatuna watangazaji? Wanaogopa au ni hawana uwezi wa kufanya mahojiano na Raisi?
Nchi inaendeshwa kama nchi za Kikomonist, Raisi anaogopwa kama nini sana sana ni kumsifia ndio kazi watangazaji wanaweza.