Magufuli aliharibu kila kitu nchi kuanzia uhuru wa habari hadi uchumi.Naangalia hapa vyombo vya habari vya Kenya, naona kuna ratiba ya Ruto kufanyiwa mahojiano tena, hii ni mara ya pili kama sikosei tangu aingia Madarakani.
Kwa mtakao fuatilia mtakuja niambia wale waandishi wa habari wa Kenya ni levo nyingine watampiga Ruto maswali magumu tupu, hawaendi kujipendekeza wala kutafuta teuzi.
Sasa je Hatuna watangazaji? Wanaogopa au ni hawana uwezi wa kufanya mahojiano na Raisi?
Nchi inaendeshwa kama nchi za Kikomonist, Raisi anaogopwa kama nini sana sana ni kumsifia ndio kazi watangazaji wanaweza.
View attachment 2621599View attachment 2621600
Hahahaha..bt utamaduni huo wa kuhoji viongozi Tz hawakuzoea....muulizeni Paschal awaambie uzoefu aliopata aliopata nafasi kama hiyo ya kuhoji, awamu ile ya 5..... HahahahaAtaongea nn sasaš¤£š¤£š¤£watangazaji wenyewe kina Jumalokole na kina Masanjaš¤£š¤£š¤£
Magufuli alifanya moja matokeo yake waandishi akiwemo pascal mayalla wakaiza maswali ya hovyo, toka siku hiyo hakujawa na press yoyote. Kwa kifupi unataka waandishi waumbuke kwa kuonyesha ufinyu wao.Naangalia hapa vyombo vya habari vya Kenya, naona kuna ratiba ya Ruto kufanyiwa mahojiano tena, hii ni mara ya pili kama sikosei tangu aingia Madarakani.