Hii Mbao fc ni kutoka mkoa gani ??
Mwanza wilaya ya ilemelaHii Mbao fc ni kutoka mkoa gani ??
Oke, senkyu.Mwanza wilaya ya ilemela
Ahsante mkuuKikosi cha Simba SC kinachoanza
1.Agban Vicent
2.Hamad juma
3.Tshabalala
4.Novart Lufunga
5.Mwanjali Method
6.Mkude Jonas
7.Kichuya Shiza
8.Muzamil Yassin
9.Mavugo Laudit
10.Ajibu Ibrahim
11.Jamal Mnyate
Sub
1.Manyika
2.Semwanza
3.Juuko
4.Ndemla
5.Federick
6.Mwinyi kazimoto
The other round!Azam FC win,Simba win,Stand win,Majimaji draw,Mtibwa win
SafiiiiiiMavugoooo Goooal
Goli la kwanza mechi ya kwanza
Dakika ya 19
Simba 1 Ndanda 0