Tanzania vs Algeria kesho

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
667
Reaction score
183
wadau wa soka tujulishane channel itakayoonyesha game la kesho kati ya Tanzania na Algeria na muda utakaoanza.
 
samahani wadau,wanacheza keshokutwa 22/03/2018
 
wadau wa soka tujulishane channel itakayoonyesha game la kesho kati ya Tanzania na Algeria na muda utakaoanza.
TBC lazima watarusha ,hii nimechi kubwa kwa nchi.kashasha na e.bwigane ndani ya nyumba.TBC wapo vizuri.
 
Taifa Stars inaenda kutafuta sababu kwa FIFA ili izidi kuporomoka kwenye Viwango vya Soka.
 
Algeria 8-0 Tanzania.... Alaf Algeria wana game kubwa sisi ni kama wanapasha tu...
 
Azam TV wataonyesha SAA mbili na nusu kwa Massa ya afrika Mashariki kupitia chaneli ya ZBC 2
 
Kikosi cha Taifa Stars kitakachoanza dhidi ya Algeria, mchezo wa kirafiki

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Gadiel Michael
4. Abdi Banda
5. Kelvin Yondani
6. Himid Mao
7. Saimon Msuva
8. Mudathir Yahya
9. Mbwana Samata
10. Said Ndemla
11. Shiza Kichuya

Kikosi cha akiba

12. Ramadhan Kabwili
13. Abdulrahman Mohamed
14. Hassan Kessy
15. Erasto Nyoni
16. Abdulazizi Makame
17. Mohamed Issa
18. Feisal Salum
19. Ibrahim Ajib
20. Shaaban Iddi
21. Yahya Zayd
22. Rashid Mandawa
 
Mchezo wa kirafiki kati ya Algeria na Taifa Stars utakuwa mbashara kupitia king'amuzi cha AZAM TV ndani ya ZBC2 kuanzia saa 2 kamili usiku.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…