Dk 52
Tanz 1 - 0 Alg
hii ngoma ni draw.mnajifariji tu
utashindaje Mpira ilihali hujawekeza?
Samattaaaaaaa
Hamkawii kupigwa 2-1 subiri tuone tusibweteke.
Sio kila mahali tufanye siasa mkuu
Pole sana mkuu hilo halitokuwepo...uchaguzi zanzibar ni february ...hivi kuna demokrasia inayozidi kufanya uchaguzi?
Lowasa alipata 62%