Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.
Hata tukifungwa mpira tumeonyesha ktk hiki kipindi cha dakika hizi za kwanza. Vijana wamejitahidi japo ni vigumu kuamini kuwa tupo tayari kushiriki kombe la dunia 2018.

Tumeshampata kocha mzuri sasa tff ilitakiwa imtake atupe long term plan yake kwa ajili ya kuitengeneza timu na kujihakikisha nafasi 2022.
 
Dah Tanzania tunataka kwenda kwenye world cup wachezaji ndio hawa wa kuunga unga, kazi tunayo. Algeria, Cameroon, Nigeria, Misri pamoja na Ghana wamekuwa kikwazo kikubwa sana kwenye mashindano mengi kwa upande wetu bila kusahau wa-Kongo.
 
Coordination ya striking force itatucost big time. Otherwise magoli yako mengi tukiwa makini
 
Dk 11

Tanz 0 - 0 Algeria
 
Maandalizi ya taifa stars hayatoshi kuiondosha algeria.

Yap hizi mechi zilitakiwa ziwe za kukamilisha tuu taratibu ili tusifungiwe. Lakini sio za kutilia maanani na kuelekeza resources zetu zote. Ilitakiwa huyu kocha aanze kuandaa timu ya kushiriki 2022. Kijana wa miaka 18 leo mpaka 2022 inatosha kumjenga na kuwa na timu imara.
 
Dk 16

Tanz 0 - 0 Algeria
 
Dk 20

Tanz 0 - 0 Alg

Mbwana Samatta anapiga shuti moja kali na linagonga besela...
 
Classic international total football thank you vijana kweli timu iko vizuri
 
Stars wanacheza kwa kasi na kwa kuelewan sana...

Wanapaswa kupata bao la mapema zaidi kabla ya dk 30...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…