Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.
Goooooooooaaaaaal

Dk 43

Elias Maguli anaiandikia Stars bao la kuongoza
 
Mbona ile mashabiki wa ile timu nyingine kule kariakoo wanalia baada ya hili goli
 
Walahi asante Mungu daaah leo kwetu rahaaaaaaa
 
Kitu tayari we deserve. Hivi Ni kigezo gani Mikia ilitumia kumtema MAGULI.

CC: sembo
 
Last edited by a moderator:
Uyu ndio Charles Boniface mkwasa katika ubora wake....Tanzania tukicheza hivi basi hakuna shaka tutafika mbali
 
Goooooooooooooool Tanzania 1 Algeria 0 dakika ya 43
 
Staaaaaaaaaaaaaaaaars!
Mtatuuuuuuuuu nyie watu! Huyu Farid Malik na Haji mwinyi wanapoyeza muda VPL! Madogo wanatisha, stars wote wako poa sana, Mkwaaaaaaaaaasa! Safi sana!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…