cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Hizi game nilizoziona,Burundi na Zimbabwe walicheza mchezo wa kuvutia sana,Zimbabwe na Burundi walionyesha ulimwengu wa soka kuwa wanajua mpira na wanajua walichokifuata Misri
Licha ya kufungwa 1 na wapinzani wao lakini kwa hakika niliipenda soka la Burundi na Zimbabwe
Tanzania na Kenya wamecheza mpira kama ndo wanaanza kujifunza kucheza,wamecheza ovyo sana
Nimeitazama mechi za Tanzania, na Kenya nikafikiria hivi watu wa ulaya na marekani walikaa kabisa ukumbini au sebuleni kutazama hii mechi,nikajisema moyoni bora Cape Verd angeshiriki hii nafasi
Kenya na Tanzania kwenye football mpira upo mdomoni,Burundi ndo mara ya kwanza kushiriki lakini wanaibana Nigeria hadi unafikiri ni mkongwe AFCON