Tanzania vs Burundi,Kenya vs Zimbabwe

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Hizi game nilizoziona,Burundi na Zimbabwe walicheza mchezo wa kuvutia sana,Zimbabwe na Burundi walionyesha ulimwengu wa soka kuwa wanajua mpira na wanajua walichokifuata Misri

Licha ya kufungwa 1 na wapinzani wao lakini kwa hakika niliipenda soka la Burundi na Zimbabwe

Tanzania na Kenya wamecheza mpira kama ndo wanaanza kujifunza kucheza,wamecheza ovyo sana

Nimeitazama mechi za Tanzania, na Kenya nikafikiria hivi watu wa ulaya na marekani walikaa kabisa ukumbini au sebuleni kutazama hii mechi,nikajisema moyoni bora Cape Verd angeshiriki hii nafasi

Kenya na Tanzania kwenye football mpira upo mdomoni,Burundi ndo mara ya kwanza kushiriki lakini wanaibana Nigeria hadi unafikiri ni mkongwe AFCON
 
aisee tumewaza sawa, bora angeenda cape verde angecheza vizuri. yaani tanzania tumecheza hovyo nahisi tumechekwa sana. Msuva peke yake ndiye niliyemuona akisha mpira naona kweli huyu mchezaji.
 
aisee tumewaza sawa, bora angeenda cape verde angecheza vizuri. yaani tanzania tumecheza hovyo nahisi tumechekwa sana. Msuva peke yake ndiye niliyemuona akisha mpira naona kweli huyu mchezaji.
Umeona eeh!!
 
aisee tumewaza sawa, bora angeenda cape verde angecheza vizuri. yaani tanzania tumecheza hovyo nahisi tumechekwa sana. Msuva peke yake ndiye niliyemuona akisha mpira naona kweli huyu mchezaji.
Manula hujamuona?
 
Bora hata ya kenya, kuliko sisi, subiri siku tukicheza na algeria ndio utajua bora Kenya
 
Tatizo wa Bongo kelele kibao ku fight kugumu!!Burundi imejitahidi kabsa mbelel ya Nigeriaa na ndo haina ma pro kama akina wanyawa ao samatta ila tumejithd kbsa Naipenda Burundi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…