Tanzania vs Burundi - World cup 2022 qualification,

Kama ilivyokuwa kwa kenya tu kwenye Afcon hatua ya makundi.

Tulichekelea sana tukijiamnisha tunaenda kuokota point mwisho wa siku ikawa ni maudhi tu.

Sasa hata hawa majirani wengine nao scenerio ni ile ile tu, sisi tunachekelea huku tukiamini ni mteremko na wao kule wanachekelea hivyo hivyo kuwa wamepata mteremko.

Tukileta ufalaa na hapa tutaanza kuwa watazamaji mapema sana miaka miwili kabla ya michuano kuanza.
 
timu yetu pendwa UGANDA wamewekwa kipande kile cha akina senegal na algeria??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…