tanzania vs burundi

1-1 na Burundi, ili tukolifai tuombee Uganda leo afungwe kisha na Burundi tena afungwe au draw na Egypt, kisha tena nasie tuje tumfunge Uganda. Stars awakucheza vizuri kipindi cha kwamnza, ile huyu jamaa mwenye jezi 20 ni mzuri sana. Ngasa...? Nadir....?
 
Jezi number 20 ni Said Maulid SMG..
Wachezaji wetu waliocheza vizuri ni Nizar, Nsajigwa, Moris, Machupa na SMG. Canavaro siku hizi anacheza kama ameshalivuta sokoto...:-*
 
Hadi leo mi sijaelewa hivi Taifa Stars wanacheza kiwango gani hadi watu mkapata pressure namna hii. Mpira umejaa wavaa hereni. Ah, endeleeni.
 
Nishachoka kusema sioni ule moyo wa ushindani kutoka kwa wachezaji wa Taifa Stars,haya mambo ya kusubiria fulani afungwe au atoke sare si mazuri??Na kama hii ndo attitude waliyonayo wachezaji ya kujipa moyo na kusubiria wenzao wasifanye vizuri basi mi sioni tunaenda wapi?Mechi hii tulipaswa kushinda si kutoka sare na juzi tumefungwa vibaya sana,tulitegemea zaidi.......:disapointed:
 
Kwa kweli staz wanasikitisha, yaani hakuna matumaini kabisa!
 
Unayosema ni kweli. Hii mechi ilikuwa tuchukue pointi zote 3 tena kwa kishindo. Wamisri wameweka mamilioni ya pe$a lakini Stars aihamasiki, naona imeridhia umaskini. Wangecheza kwa kiwango chao wasingetoka droo.
 
Jamani mechi kati ya Uganda vs Egypt ngapingapi?
Uganga 0-1 Egypt , mechi imeisha Uganda wamejitahidi sana pia wana stamina sana! Goli wamefungwa dakika za nyongeza. Tanzania wachezaji hawana Stamina, hawana nidhamu ya mchezo pia hawajitumi kwa bidii. Naweza pia kusema wana uwezo binafsi mdogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…