Kilakshari
JF-Expert Member
- Dec 13, 2008
- 350
- 20
Sina hakika kama itarushwa live..............tunaomba walio karibu na mechi hiyo watupe updates.hivi hii mechi itarushwa live? na ni saa ngapi?
Hapo kweli wameharibu......mi nashanga walioandaa tamasha la mzalendo huko biafra nasikia linafanyika wakati mmoja na mechi hiyo, tutashangilia saa ngapi. Mlio uwanjani mtupe updates.
Updates plz, maana wengine tumekatiwa umeme tangu asbh.
E bana eee ...duuh! ****** yuko uwanjani nini? Mbona...!!?Ni uzembe wa mabeki ndio umesababisha Af.ya kati kupata gori la mapema.
Hapana mkuu yalikuwa ni matatizo ya kiufundi tu!!Star TV mechi ilikua inarushwa lakini gafla imekatishwa, sijui wameona kudalili za Tz kupigwa mvua ya magori!!!