Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,901
- 410
Jamaa ni wa kawaida kabisaaa,tunakosa mbinu mjalabu kuwafunga na kwa kiwango chetu mpaka huu kabumbu ni 50/50. Bahati mbaya hatujui kuwa wao wana mtaji tayariPamoja na kupigwa bao la mapema. Je, Stars wanaonyesha matumaini, au wameelemewa.
Vipi kuna ka_TV kokote kanaonyesha mkuu??
nipo kijiweni bado nilitaka nimuombe My wife wangu aende home akatazme kwa niaba yangu then jioni/usiku anisimulie pls pslsssss
wanaonyesha matumaini kiasi!Pamoja na kupigwa bao la mapema. Je, Stars wanaonyesha matumaini, au wameelemewa.
TV yenu ya Mwanza inarusha(Star TV)
Ni kweli bwana!!!Mmh sio yetu, mi na mke wangu hatuna TV...haya asante Mpwa, naskia tumeshapigwa kimoja hukoooo...ni kweli
ni Half Time:
Kwa ujumla sijaona ufundi wowote ndani ya dk 45. Afrika ya kati ni wa kawaida sana. Ilitakiwa hadi tuwe tunaongoza.