Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
sorry hivi hao watu tunao kweli au ni washabiki tu, sijui ngoja tusikilizie lazima babu wa Loliondo atatajwa hapo....Commentators wanasemaje kwa performance yetu ilivyo? Tujuzeni wengine tupo offline..
Wakimaliza kwa matokeo hayo afadhali tuji-engage kwenye kiduku zaidi...
Hatuna commentators ni mashabiki.Commentators wanasemaje kwa performance yetu ilivyo? Tujuzeni wengine tupo offline..
Hatimae Taifa Staz wamepata bao
Hatimae Taifa Staz wamepata bao
Any updates...
Shaban nditi amesawazisha kwa Stars