Tanzania VS C.A.R

Hongera sana kwa Taifa stars! wanaonyesha matumaini kwa huu ushindi.
 
Matokeo mazuri. Tumshukuru Mungu kwa matokeo hayo. Asante pia kwa Stars, wamepigana hata walipokuwa wameelemewa kwa goli la dakika za mwanzo.
 
Taifa stars 2 Jamuhuri ya kati 1....Bravo stars...
 
Staz wameshinda at last 2-1, congrats to TZ boyz.
 
Safi sana Taifa stars! Ngoja tuwaangalie waingereza na wales, game lao linaanza soon.
 
Oooops bora tumepata ushindi.......
 
Mpira umekwisha Taifa stars 2 Jamuhuri ya kati 1.......................
 
Oooops bora tumepata ushindi.......

Kwa kweli I am so happy I was watching both games Kenya vs Angola na Stars vs CAR, winning goals for Kenya scored by Mariga in the last minutes came along almost the same time for Stars scored by Samata safi sana hivi msimamo ukoje najua waarabu leo wanakiputa wao kwa wao Morroc vs Algeria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…