Mpira umeisha au bado?
Magoli ya kijinga kabisa tunafungwa!
Safari bado ni ndefu sana sana,kwa kufungwa huku as if beki hatuna jamani???

Kwa kweli Kaseja na mwenzake Canavaro walikuwa wamekula kitu fulani cha kijani...
Haiwezekani wakafungisha magoli ya kichekechea namna ile..