Tanzania VS Kenya: Wachezaji wa Kimataifa

shadownet

Senior Member
Joined
Aug 4, 2015
Posts
133
Reaction score
677



Soka la nje ni big deal na sote tunajua, Jana katika fainali za Uefa champions league, Timu zote liverpool na kenya zilikuwa na wakenya, upande wa liverpool ambao ni mabingwa wapya wa uefa kulikuwa na Divock Oregi huku upande wa Tottenham alikuwepo victor Wanyama.

Ikumbukwe kwamba baba yake Divock aliwahi kuchezea club ya ubelgiji "Genk" anayochezea mchezaji tegemeo wa Tanzania "Mbwanna Samatta"
 
Ndo umeandika nn sasa? Uzi auna mbele wala nyuma sasa tuchangie nn?
 
Timu zote za Liverpool na kenya zilikuwa na wakenya 😏😏😏
 
Shule gani umepitia mkuu???
 
Wanyama aende timu ndogo akacheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…