Tanzania vs Malawi, kutoka CCM Kirumba 29/3/2015

Mechi kama hizi pamoja na kuangalia ushindi zitumike kuwapa uzoefu wachezaji wengine. Ndio maana ya International Friendly. Angalau angewaanzisha watatu ambao ndio wanaanza kuchezea Taifa Stars.

Mkuu umesema kweli kabisa, nimefurahi Hassan Isihaka kuona kapangwa kucheza tena half back four afu ubavuni kuna Nadir
 

muda si mrefu mechi inaenda kuanza
 
wachezaj wa kimataifa wanaokipiga congo katika club ya tp mazembe,mbwana samatta na thomas wamekuwa gumzo hapa uwanjan kutokana na mitindo ya nywele-kiduku waliyonyoa na aina ya mazoez wanayoyaonyesha hapa uwanjani
 

jaman inakuaje msuva hayupo kiongozi?
 
amri kiemba aliyepo azam fc kwa mkopo kutoka simba,nae yupo hapa uwanjan akifanya mazoez,lakn watanzania wanajiuliza kwa nini kocha mart nooij alimuita na huku akijua kuwa anasugua bench pale azam fc
 
wachezaj wanapeana mikono wakiongozwa na mgeni rasm ambaye pia ni mkuu wa mkoa wa mwanza,magesa mulongo,rais wa tff,jamal malinzi na nahodha wa timu ya taifa,canavaro
 
Vipi Issa je inaoneshwa live pia?

Na je ni kituo gani cha Luninga
 
pyeeeee,kipenga kimelia hapa katika dimba la ccm kirumba kuishiria mechi kuanza
 
  1. Aishi Manula
  2. Shomari Kapombe
  3. Oscar Joshua
  4. Aggrey Morris
  5. Nadir Haroub
  6. Erasto Nyoni
  7. Amri Kiemba
  8. Haroun Chanongo
  9. Mwinyi Kazimoto
  10. Samatta
  11. Thom Ulimwengu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…