Tanzania vs Malawi, kutoka CCM Kirumba 29/3/2015

Dk 3-Malawi wanapata kona ya kwanza baada ya Cannavaro kuugonga kichwa mpira
 
Dk ya 4 Essau Kanyenda anaipatia bao Malawi baaada ya kipa kupangua na ikarudishwa walinzi wakazembea


Malwi Moja Starz 0
 
shambulizi la Kiemba na Ulimwengu anagonga kichwa unatoka nje goal kick
 
kona inapigwa kuelekea lango la tanzania,goooo malawi wanaandika goli la kwanza hapa
 
  1. Aishi Manula
  2. Shomari Kapombe
  3. Oscar Joshua
  4. Aggrey Morris
  5. Nadir Haroub
  6. Erasto Nyoni
  7. Amri Kiemba
  8. Haroun Chanongo
  9. Mwinyi Kazimoto
  10. Samatta
  11. Thom Ulimwengu

Golikipa ni Mwadini Ali, Sio Aishi Manula.
 
mabeki wanagongana na kufanikiwa kuondosha
 
Ersato anacheza kama beki kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…