HarakatiNews
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 218
- 187
Sawa tunasuburi mkuu, wazalendo bado tupo na timu yetu hatujakata tamaa
kweli kabisa kamanda,lakini yataka moyo
Punde nakuweka hapa link ya live streaming kuanzia saa 10 jioni.kutoka Nakivubo.
Ikigoma Gonga HAPA link zipo kama sita hivi.
Rais museven atakuwa uwanjani
[h=1]no change as micho names cranes xi against tanzania[/h]kama umepata line up tupia mkubwa tuone leo kama tunaambulia chochote
Tanzania XI vs Uganda: Mustapha, Kapombe, Haji, Haroub, Yondani, Mudathir, Kaseke, Domayo, Bocco, Mandawa, MsuvaAnyone with taifa stars line up?
Tanzania XI vs Uganda: Mustapha, Kapombe, Haji, Haroub, Yondani, Mudathir, Kaseke, Domayo, Bocco, Mandawa, Msuva