Tanzania vs Zimbabwe | Live Streaming Link

Siku ile niliona jinsi Egypt walivyotuachia tu.Namimi naamini kule tumeenda kugawa points kwa washindani halisi.Hata Kenya ataokota point kwetu.
 
Game sijui aitambuliki....ata live score hakuna updates ila zingine zipo
 
Hii mechi itakuwa kuna tatizo limetokea maana kila kona mtandaoni tulikosa updates, au ni batili!!?
 
Wanazingua hao hakuna kitu,
Ila nchi hii tunasafari ndefu sana kwakweli! Yaan lichanel la TBC kazi ya kurusha mambo ya chama tu hovyo kabisa
Mi naona hao TBC ni bora wasionyeshe kabisa mpira wanaweza kukata matangazo katikati ya utamu ili wajiunge na mwenye nchi yake kisa tu anaongea na wauza samaki feri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…