Tanzania wanadhani wakikandamiza majirani kibiashara eti watainuka! Nchi ovyo EAC na SADC!

This is the website of Kenya Ministry of Foreign
http://www.mfa.go.ke/#




 
Uliza rafiki yako google usome kuhusu foreign policy ya Kenya sio copy and paste zenu za kawaida za usanii. Shida yenu ni kwamba maamuzi yote yanaachiwa mtu mmoja, Jiwe. Huku Kenya hiyo kazi ni ya Monica Juma na PS wake.
 
Uliza google kama ulivyofanya na ya Tz, mienendo yenu haiendani na hiyo copy and paste ulochapilia hapo juu. Shida yenu ni kwamba maamuzi yote yanaachiwa mtu mmoja, Jiwe. Huku Kenya hiyo kazi ni ya Monica Juma.
Who is Monica Juma by the way.
Huoni kuwa nyine mmemwachia kazi mtu mmoja kila nchi anazunguka zunguka kama pia. USA kaenda yeye, China kaenda yeye, Mozambique kaenda yeye, SA kaenda yeye. Kwani hakuna watu wengine? Kila sehemu anazunguka uhuru tu. Hajui hata anachoenda kufanya kule.
 
Point, umasikini ulikuwepo tanzania siku nyingi, off late kuna mtu kaleta umaskini wa mawazo, bila yeye nchi haiendi, haimpi, wala haithaminiki
 

Wana uhusiano wa kibiashara, lkn si urafiki. wanafanya biashara katika mazingira ya mashaka na kutoaminiana. kwa sasa kuna vita kali kweli ya kibiashara kati yao. Muwe makini msije mkaambukizwa ugomvi.
 
Monica Juma ndio waziri wa foreign affairs. Ulitegemea U.K amtume nani alipoalikwa na Trump? Rais ana majukumu yake, na moja yazo sio kukomalia ikulu akila mahamri ya mkewe.
 
Wana uhusiano wa kibiashara, lkn si urafiki. wanafanya biashara katika mazingira ya mashaka na kutoaminiana. kwa sasa kuna vita kali kweli ya kibiashara kati yao. Muwe makini msije mkaambukizwa ugomvi.
Kwahivyo nyinyi ndio mnataka muwe marafiki wa China na maadui wa U.S kwa ugomvi ambao hauwahusu? Mnafanya biashara na China zaidi ya biashara wanazofanya na U.S? Alafu mbona huwa mnakubali misaada mikubwa kutoka U.S? Mmechanganyikiwa zaidi ya ngiri jombaa.
 
Monica Juma ndio waziri wa foreign affairs. Ulitegemea U.K amtume nani alipoalikwa na Trump? Rais ana majukumu yake, na moja yazo sio kukomalia ikulu akila mahamri ya mkewe.
Leta foreign policy ya kwenu hapa tuchambue siyo kuanza kuuongea mambo ya Monica hapa.
Tubajadili Foreign police. Nimekuwekea yenu ya Kenya na ya Kwetu ya Tanzania.
Twende kazi kujadili.

Policy Objectives - Tanzania

  • To project, promote and protect URT’s political, economic, social and cultural interests through active and sustainable economic diplomacy
  • To ensure that URT’s relation with other nations and international entities are also driven inline with economic interests,
  • To build a self sustaining economy, preservation of national peace and security as well as supporting regional and international endeavor for the creation of better and peaceful world.
  • To accelerate the political and social economic integration for the region and
  • To create the necessary conditions which shall enable URT to participate effectively in the regional and international negotiations
Policy Objectives - Kenya
a) Protect Kenya’s sovereignty and territorial integrity;
b) Promote sub-regional and regional integration and co-operation;
c) Enhance regional and global peace and security;
d) Advance the economic prosperity of Kenya and her people;
e) Project Kenya’s image and prestige;
f) Promote international cooperation and multilateralism;
g) Promote and protect the interests of Kenyans abroad; and
h) Enhance partnership with the Kenya Diaspora and descendants.
 
Policy Strategies - Tanzania

  • Buildings Facilitative Internal Environment
  • Forging International Partnership,
  • Redefining Bilateral Diplomacy,
  • Strengthening Multilateral Diplomacy,
  • Promoting Good Neighborliness,
  • Enhancing Regional Peace and Security,
  • Strengthening Regional Economic Integration (EAC, SADC,IOR-ARC),
  • Upholding African Union (AU),
  • Reaffirming Non-Alignment,
  • Promoting South-South Cooperation,
  • Enhancing the Commonwealth Organization,
  • Promoting the United Nations Organization,
  • Readdressing Financial Issues and external Debt,
  • Cooperating with Multinational Corporations and
  • Supporting Effective NGOs.
Policy Strategies - Kenya
====Null=====
 

wewe ndiye unayesema hayo.
Tangu zamani sisi huwa hatupangiwi rafiki, na ndiyo maana historically we are among the founding nations of Non - Alignment Movement (NAM). we are not welcoming influence from outside. now becoz of this, those big nations know how to collaborate with us. they understand the demarcation of interaction with us. And normally they don't cross that line.
 
eliakeem are you serious? Nchi masikini kama Tz sio ya kujipiga kifua. Alafu naona mwenzako Annael nimemtajia za foreign policy na baada ya kuingia google fasta sasa amekuwa mtaalamu na anataka tujibizane kuhusu hayo. Alafu kuna sehemu ameiita foreign police! [emoji1] Wabongo buana! [emoji1]
 
Kijana unaongea sana. Hebu fuatilia comment zangu kijana. Hilo suala la kutamka foreign policy hiliwezi kukupatia credit yoyote. Sisi tunajadili kisomi nyie wakenya mnajadili kwa mihemko.

Halafu kijana nakushangaa sana eti unapojipiga kifua na kusema Kenya ni nchi tajiri wakati huu uzi unawaonesha namna gani mlivyo hohehae. Eti Tanzania inawakandamiza real!! Huo utajiri wenu uko wapi?

Tanzania is a big Nation kijana. Nakushauri jipange vizuri uje na arguments za kisomi. Maana sisi tunaakili nyingi mno na tunaweza kuwachezesha kwata mpaka mkakimbia. Jipange kijana.
Na unapojadiliana na mimi weka arguments zako bayana.
Nakuona unaanza kushambulia watu badala ya kujadili. Huo unaitwa ni utoto na wenda wazimu. Critical thinkers like me discus issues. Lakini hohehahe wa kibera kama wewe mnapenda mipasho, yaani very simple arguments ambazo hata mtoto mchanga anaweza kutoa.
 
Sawa mzee. Ila ukivaa miwani yako na usome kichwa cha mada tena utaona tunaongea kuhusu Uganda. Niliona kwenye uzi mwingine ukiongea kuhusu Tz mlivobobea kwenye taaluma ya 'kidney transportation'. [emoji1]
 
Sawa mzee. Ila ukivaa miwani yako na usome kichwa cha mada tena utaona tunaongea kuhusu Uganda. Niliona kwenye uzi mwingine ukiongea kuhusu Tz mlivobobea kwenye taaluma ya 'kidney transportation'. [emoji1]
Kama unaongelea Uganda kwanini usiiweke kwenye Uganda forum?
 
Kama unaongelea Uganda kwanini usiiweke kwenye Uganda forum?
Sio mimi muulize mleta mada. Usisahau pia kuwauliza swali hilo wote wanaoleta mada za Tz ambazo hazihusu Kenya kwenye jukwaa hili, wewe ukiwa mmoja wao. Nadhani jukwaa la Kenya News and Politics lina mnato wa ajabu, ndio maana miaka inasonga na bado upo upo tu, unakesha humu 24/7.
 
Duh!!! yamekuwa haya tena.
 

Tanzania hatuwezi kuingiza kenya tukiwa na mgigoro na nchi yoyote duniani. Ila Kenya ndio vinara wa vita ya kibiashara, sijuwi hizi mbinu Trump ali-copy kutoka Kenya au la.

Mgoogoro wa gari ya utali uliamzishwa na Uhuru Kenyatta baada ya kutaka kubadilisha makubaliano yaliyofanywa na maraisi walio pita, mkataba unasema wazi kabisa hakuna gari la utali la nchi moja litaigia kwenye mbuga za nchi nyingine. Swali tumewaukiza mara kwa mara hamjibu, uwanja wa ndege ni kivutio cha utali? Hata hiyo CoW mlikuwa mnaenda kinyume na makubalino ya EAC ambayo yanasema kama nchi zikifnya maamuzi yanayohusu jumuiya nzima, ni lazima nchi zote ziwakilishwe. Tatizo mnafikiri biahsara za nchi kwa nchi inafanywa kwa mabavu, mmemsukua South Africa lakini mwisho wa siku ni Kenya ndio imebaki inaumua. Mmesukuma EU iwape free trade deal, mpaka leo hii your hanging by a thread.
 
Uhuru kemyatta abdo ana siasa za kizamani, kila kitu cha nje rais ndio anawakilisha. Nchi nyingi hasa zilizoendelea walishanga sana kusikia kiongizi wa Africa anasema balozi zetu zinatosha kutuwakilisha kwenye shuguli na nje.
 
Monica Juma ndio waziri wa foreign affairs. Ulitegemea U.K amtume nani alipoalikwa na Trump? Rais ana majukumu yake, na moja yazo sio kukomalia ikulu akila mahamri ya mkewe.
Toka lini ulimuona jenerali anaenda mstari wa mbele vitani. Hakuna kiongozi anaweza kuacha Nerve Center na kweda kwenye tukio. Kenyatta amekiwa anacha kituo anaenda nje huku nyuma kina Ruto wanamwaga cash mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…