pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hahaa! Rais U.K huwa anahudhuria vikao ambavyo vinahudhuriwa na marais wa mataifa mengine ama wakati amealikwa na marais wenzake. Waziri Monica Juma na mawaziri wenzake wana majukumu yao pia na huwa wanazuru wakimuakilisha rais.Toka lini ulimuona jenerali anaenda mstari wa mbele vitani. Hakuna kiongozi anaweza kuacha Nerve Center na kweda kwenye tukio. Kenyatta amekiwa anacha kituo anaenda nje huku nyuma kina Ruto wanamwaga cash mitaani.
Swafiiii sanaTanzania ndiyo Giant wa East africa,kwaiyo haiwezi kuwa dampo za takataka za kenya na uganda ambazo hazina quality.
We jamaa unajiaibisha kweli.Hahaa! Rais U.K huwa anahudhuria vikao ambavyo vinahudhuriwa na marais wa mataifa mengine ama wakati amealikwa na marais wenzake. Waziri Monica Juma na mawaziri wenzake wana majukumu yao pia na huwa wanazuru wakimuakilisha rais.
Najiabisha kwako, kwani wewe ndiye hediboi wa Jf? Mzee, mimi nangoja uendelee kutuelimisha kuhusu foreign police. [emoji1]We jamaa unajiaibisha kweli.
Asante sana kwa ku-admit kuwa wewe ni mjinga. Nitaendelea kukuelimisha hadi ujinga wako uishe.Najaibisha kwako, kwani wewe ndiye hediboi wa Jf? Mzee, mimi nangoja uendelee kutuelimisha kuhusu foreign police. [emoji1]
Sawa mzee, nimekuelewa.Asante sana kwa ku-admit kuwa wewe ni mjinga. Nitaendelea kukuelimisha hadi ujinga wako uishe.
Kenya is a capitalist country but Tanzania is The Socialist Nation.
Mnaenda China kufanya nini? kabla ya kwenda China rais wenu anaenda kwa BOSS weni Trump. Wake up kijana. Kenya haijielewi haijui inataka nini kenye International affairs
Uhuru Kenyatta Lazima aende marekani kupeleka ripoti kwa boss wake,Asante sana kwa ku-admit kuwa wewe ni mjinga. Nitaendelea kukuelimisha hadi ujinga wako uishe.
Kenya is a capitalist country but Tanzania is The Socialist Nation.
Mnaenda China kufanya nini? kabla ya kwenda China rais wenu anaenda kwa BOSS weni Trump. Wake up kijana. Kenya haijielewi haijui inataka nini kenye International affairs
Uhuru Kenyatta Lazima aende marekani kupeleka ripoti kwa boss wake,
Ila hawa wakenya ujue their reasoning is inconsequential,
Sasa wanajisahau kuwa wao ni Vibaraka Wa marekani na washirika wao akiwemo UK, wanataka kushirikiana na China na hata Russia, si ni Vikaragosi hawa eti???
Ndio maana mchina ile reli amejenga Tz miaka ya 1970's amejenga Kenya 2018,
Kamwe mchina hawezi mchekea mkenya, China na Kenya Wapi na Wapi?
Kabisa, Tatizo la hawa majirani ujuaji mwingi wakati vichwani Content ndogo sana,Kumbe ni maksudi kabisa china amewafanya vibaya wakenya!!!!