Tanzania,wanafunzi kufanya mitihani ya taifa wakiwa wamekaa chini

Kertel

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
5,425
Reaction score
5,227
Ni habari kutoka jijini mwanza ambapo wanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Nyerere watafanya mitihani yao ya taifa wakiwa wamekaa chini kutokana na shule hiyo kumiliki jumla ya madawati hamsini na mbili tu ambayo yanatumiwa na darasa la saba pekee
source,startv habari
 
Wala sishangai kwa Tanzania, kwa kuwa chi hii ina maajabu mengi ila yote ni ya kuhuzunisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…