Tanzania wapata Suluhu baada ya Pombe

Tanzania wapata Suluhu baada ya Pombe

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
14,267
Reaction score
14,890
Hongera Tanzania kwa Suluhu.

images (53).jpeg
 
JPM kaandaa njia, Suluhu anatimiza malengo. Pita mlemle Ms Samia, Madame President. Ujasiri wako ni nguvu mpya kwa taifa letu la Tanzania!
 
Baada ya Pombe tumepata Suluhu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

wakuu acheni ujinga
 
Back
Top Bottom