Tanzania watu wanaishi maisha magumu sana ila hawasemi wala kulalamika!

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Jana nilikuwa nimevaa Kofia (bagharashia) pamoja na kanzu.

Ila Malaya wanaojiuza waliponiona nimepita Buguruni usiku saanane waliniita ili nikawaungishe.

Ebu fikiria huu ni ujasiri wa aina gani?. Peoples are broke

Mtu ambaye hana changamoto za maisha hawezi kwenda kujiuza Buguruni hadi saanane usiku.
 
Acha tu mkuu

Utamlalamikia nani wakati karibia kila mtu hali ni ile ile?

Ndo hivyo tunaishi kwa kujidanganya Tanzania ni tajiri, ooh Tanzania ilikuwa sawa na China miaka ya 60

Kumbe tupo kwenye kanda maskini kuliko zote duniani

Wewe umeona malaya tu, ila tatizo lipo kwa watu wengi
 
Bongo umaskini ni ushujaa hadi tunatambiana yani, utasikia

"Ushawahi kulala siku mbili na njaa wewe au ushawahi kuingia jela, utaniambia nini kuhusu maisha"..

Kwa hiyo kwetu kuteseka ndio maisha, usituhurumie sana
 
Ulikuwa hulijui hilo?

Hao unaowadharau wengine wana kipato na maisha ya juu zaidi yako. Ukizingatia umalaya ulikuwepo kitambo, umeukuta na utauacha.

Zingatia hili katika maisha yako: WEWE HUTAWEZA KUBEBA HATA NUSU YA WANAYOYAPITIA..
 
Jana nilikuwa nimevaa Kofia (bagharashia) pamoja na kanzu.

Ila Malaya wanaojiuza waliponiona nimepita Buguruni usiku saanane waliniita ili nikawaungishe.

Ebu fikiria huu ni ujasiri wa aina gani ?.

Peoples are broke

Mtu ambaye hana changamoto za maisha hawezi kwenda kujiuza Buguruni hadi saanane usiku.
Wewe una changamoto gani zilizokupeleka buguruni saa nane usiku ukawaungishe malaya?
 
Kwahio na wanaonunua wana maisha mazuri sana ?

Maisha Bongo ni magumu watu hawana basic needs that is a fact..., ila hicho sio kipimo sababu ni huduma kama huduma nyingine (Oldest Profession in the World);
 
Jana nilikuwa nimevaa Kofia (bagharashia) pamoja na kanzu.

Ila Malaya wanaojiuza waliponiona nimepita Buguruni usiku saanane waliniita ili nikawaungishe.

Ebu fikiria huu ni ujasiri wa aina gani?. Peoples are broke

Mtu ambaye hana changamoto za maisha hawezi kwenda kujiuza Buguruni hadi saanane usiku.
Huo usiku wa saa nane ulikua unatafuta nini kwenye maeneo yao?
 
Acha tu mkuu

Utamlalamikia nani wakati karibia kila mtu hali ni ile ile?

Ndo hivyo tunaishi kwa kujidanganya Tanzania ni tajiri, ooh Tanzania ilikuwa sawa na China miaka ya 60

Kumbe tupo kwenye kanda maskini kuliko zote duniani

Wewe umeona malaya tu, ila tatizo lipo kwa watu wengi
Bora tulewe tu mkuu uchumi tuwaachie mafisadi😁
 
Kwani hayo mavazi yanahusiana vipi na umaskini wa hao dadapoa? Vazi la mwarabu bana
 
Jana nilikuwa nimevaa Kofia (bagharashia) pamoja na kanzu.

Ila Malaya wanaojiuza waliponiona nimepita Buguruni usiku saanane waliniita ili nikawaungishe.

Ebu fikiria huu ni ujasiri wa aina gani?. Peoples are broke

Mtu ambaye hana changamoto za maisha hawezi kwenda kujiuza Buguruni hadi saanane usiku.
kwahiyo uliwaungisha? na wewe saa nane usiku ulikuwa unaenda wapi?
 
Back
Top Bottom