Wewe una changamoto gani zilizokupeleka buguruni saa nane usiku ukawaungishe malaya?Jana nilikuwa nimevaa Kofia (bagharashia) pamoja na kanzu.
Ila Malaya wanaojiuza waliponiona nimepita Buguruni usiku saanane waliniita ili nikawaungishe.
Ebu fikiria huu ni ujasiri wa aina gani ?.
Peoples are broke
Mtu ambaye hana changamoto za maisha hawezi kwenda kujiuza Buguruni hadi saanane usiku.
Huo usiku wa saa nane ulikua unatafuta nini kwenye maeneo yao?Jana nilikuwa nimevaa Kofia (bagharashia) pamoja na kanzu.
Ila Malaya wanaojiuza waliponiona nimepita Buguruni usiku saanane waliniita ili nikawaungishe.
Ebu fikiria huu ni ujasiri wa aina gani?. Peoples are broke
Mtu ambaye hana changamoto za maisha hawezi kwenda kujiuza Buguruni hadi saanane usiku.
Bora tulewe tu mkuu uchumi tuwaachie mafisadišAcha tu mkuu
Utamlalamikia nani wakati karibia kila mtu hali ni ile ile?
Ndo hivyo tunaishi kwa kujidanganya Tanzania ni tajiri, ooh Tanzania ilikuwa sawa na China miaka ya 60
Kumbe tupo kwenye kanda maskini kuliko zote duniani
Wewe umeona malaya tu, ila tatizo lipo kwa watu wengi
kwahiyo uliwaungisha? na wewe saa nane usiku ulikuwa unaenda wapi?Jana nilikuwa nimevaa Kofia (bagharashia) pamoja na kanzu.