Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Akili yako ndogo sana na kuna uwezekano huna kipato ndio sababu umejawa na wivu. Kama huna kipato unakua na hasira muda wote tu, South Africa wanawauwa waafrika wenzao waliowasaidia kumaliza ubaguzi wa rangi, wanaofanya vitendo hivyo ni watu wasio na kazi kama wewe, hata huko India wanaofanya hivyo ni magenge ya kihuni kama wewe.
Kutokuwa Mbaguzi dhidi ya mtu anayekubagua ni ishara ya low IQ imethibitishwa Dunia nzima, maana yake ni kwamba wewe ni kiumbe dhaifu ndo maana unathamini mwingine na kumpa special treatment wakati yeye anakuona takataka.
Waliopiga Waafrika weusi India ni Polisi na Wahindi tena maelite walikuwa wakishangilia Wanafunzi wa Kiafrika akipigwa na Polisi, hakuna Muhindi aliandamana kupinga ni Wanafunzi wa Kiafrika peke ya walioandamana na Wahindi hawakuja.
Narudia, kutokuwa Mbaguzi kwa mtu anayekubagua ina maana una Low IQ!