Tanzania ya FaizaFoxy na Iphone 7

moghasa

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
1,084
Reaction score
1,254
Kila shetani na mbuyu wake ni usemi uliokuwepo tangu tangu na tangu!!. Shukrani kwa wahenga, wangechelewa tu kusema labda ningesema Mimi!!

Kabla ya kujiunga hapa Jf miaka minne iliyopita nilikuwa naitembelea kama mgeni, nikiwa na member ambao ilikuwa kwangu ni lazima nione wamebandika nini. Mmoja wapo akiwa ni FaizaFoxy !!
Asipochangia mada nahisi kama haijakamilika, kwenye masuala ya siasa niko dormant sio CHADEMA wala CCM lakini ukweli kutoka moyoni napendenda anavyojenga hoja za dini yake na kila kitu, in short this is obsession !!

Utafiti unaonesha moja ya nchi za kiafrika zinazoipenda nchi ya Marekani Tanzania pia tumo (ingawa hatuizidi Korea Kusini) na ndio maana kila kitu kinacho-trend USA kinatrend pia Bongo.

Hali ni tofauti na iPhone 7 iliyotoka awamu hii ya tano, nimebaki najiuliza shida iko wapi, na je shida inayomkumba mama yangu FaizaFoxy ndio inaikumba na iPhone 7 pia?

Kutoka moyoni FaizaFoxy nakumiss sana, kama unaweza kutoa ufafanuzi basi ntashukuru mama yangu!!

Natanguliza heshima mbele. Na kama kuna makosa ya tahajia basi kosoa, make wakurya na R in moyo na damu.
 
Taata Moghasa, karibu tusherehekee saro..



BTW, kuhusu Faiza.nadhani mabadiliko ya Uongozi hayajamfurahisha na huyu mkulu hakuwa ""timu"" yao ndo sababu siku huonekana mara chache sana...
 
Yaani huyu bibi hata angejitahidi siku moja tuone picha yake.

Huwa nahisi anafanana na bi hindu[emoji1] [emoji1] au ndio yeye.
 
Taata Moghasa, karibu tusherehekee saro..



BTW, kuhusu Faiza.nadhani mabadiliko ya Uongozi hayajamfurahisha na huyu mkulu hakuwa ""timu"" yao ndo sababu siku huonekana mara chache sana...
Tata mwaka huu niko mbali !! Ila tupicha twa saro na tongwa nikumbuke tata WAIKORU
 
[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] khaa huyo bibi wa mwendokasi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwakweli pigo zake sio za nchi hii
 
Nakubaliana nawe, ktk uwezo wa kujenga hoja na kuisimamia, FaizaFoxy yupo juu zaidi...hata mie toka miaka kadhaa kabla sijajiunga jf nilikuwa nasuuzika sana na Bi Faiza...ingawa natofautiana nae ktk mitazamo yake kadhaa...Alinikosha sana wakati wa escrow alivyosimama kidete jf kumtetea Muhongo ingawa mwisho Muhongo alienda na maji. Natamani 1 day nikutane na Bi Faiza Foxy uso kwa macho....Mungu ampe afya njema na hidaayah (amiyn)
 


Samahani sana nilikuwa sijauona huu uzi.
 

Ahsante sana, hivi sasa nimeanzisha ukurasa wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Karibu sana uchangie mada huko. Kuna maswali mengi ambayo nnaulizwa na nnauhakika kuna wengi humu wana uwezo wa hali ya juu wa kujibu mengineyo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…