Andrew kigora
New Member
- Mar 16, 2024
- 2
- 3
Tanzania ni miongoni mwa nchi pekee barani africa na duniani kote kwa ujumla kwakuwa na vivutio vingi ikiwemo mbuga za wanyama, mapori, mito pamoja na safu za milima zenye mandhari yakipekee kamavile mlima wakihistoria barani africa mlima kilimanjaro
Hakika tanzania ni nyumba ya wageni lakini pamoja nahayo bado tumeshindwa kupiga hatua kwenye sekta ya utalii katika
Uwekezaji yakinifu kwenye sekta ya utalii kupita(TEHAMA)&( MITAALA)
1; inatupasa kuweka mikakati katika kusimika sekta hiyo kwa vizazi vijavyo kupitia balozi zetu zilizopo nchi mbali mbali duniani hii itachangia mno kuhakikisha mabalozi hao wanasimamia nakuratibu shughuli zote zakuutangaza utalii wetu
2;kuundwa kwa dawati maalumu lakutoa elimu juu ya uhifadhi nautunzaji wa rasilimali zetu dawati hilo lianzie katika mashule ambapo kuna wimbi kubwa la kizazi cha kesho kwani kuwepo kwa mitaala yakuelimisha kizazi hicho kutachangia kuwepo na jamii yenye elimu juu ya masuala ya utunzaji na uhifadhi
3; promotion advertising abroad tunao ushilikiano mzuri kupitia nchi wanachama pamoja na balozi zetu nchi mbali mbali hivyo serikali inatakiwa kutenga bajeti katika kufanya matangazo kwenye vituo vya television za nchi mbali mbali duniani hii itasaidia kuwepo kwa ongezeko la watalii kupitia utangazaji huo kwani naamini kwakufanya hivyo tutapiga hatua kubwa sana kwakuwa litakuwa ni zoezi endelevu kama vile ambavyo kituo kimoja cha china kinavyo utangaza utalii wake na mji wake kupitia kituo chetu cha tv hapa nchini
( IJUE CHINA NA UTAMADUNI WAKE ) kupitia kituo cha chanel ten hapa tanzania
Hii itasaidia kuongeza idadi ya watalii pamoja na kukuza pato la taifa kupitia sekta ya utalii.
Upvote
1