Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
WanaJF
Nina mpago wa kurudi nyumbani kabla ya Uchaguzi ili nitoe kura yangu kwa DR Weapon(Slaa) juzi ndo nimesikia kuwa anagombea Urais. Niliposikia habari hii nilishutuka kidogo nikaona Dr weapon kadhubutu, nchi ya mwalimu nyerere imekuja, utawala wa maadili ya mwalimu nyrere umerudi, Mungu nisadie kura yangu ifanye kazi