Tanzania ya pili duniani kwa vivutio asilia vya utalii, tulikwama wapi?

Kaziindelee
 
Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais wa kweli basi ni sasa, Mungu tujalie heri kuelekea 2025|30
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Wanasiasa wa Tanzania siwaamini kabisa.

Baada ya gas kugundulika huko kusini, Kikwete alituambia mitambo ya kufua umeme kwa kutumia gas ikikamilika umeme ungeshuka bei..mpaka leo tunasubiri.

Huyu mama naye ni wale wale tu.
Tatizo kubwa ni sera, nazani tungebali sera zetu na kufanya utalii ni sehemu ya kutengeneza ajira kisha kodi kuwa jambo la pili.

Pili serikali inachaji ghali sana kiasi kwamba mtalii anaona kutembelea Tanzania ni gharama kubwa. Ipo hivi kodi na mapato yanayokusanywa kutoka kwenye makampuni na mahoteli ya kitalii ni nyingi na kubwa sana hivyo hizi kampuni na Hoteli inabidi wauze huduma zao juu ili waweze kukiendesha.

Gharama za kutembelea, kulala, na kufanya activity zingine ndani ya Hifadhi zetu ni kubwa sana.
Mfano Ngorongoro, kuna kitu kinaitwa entry fee 60$ kwa Mgeni mmoja bila vat, huyo Mgeni akitaka kutembelea Kreta basi gari itabidi ilipiwe kitu kinachoitwa Creator service ambayo ni 250$ bila vat. Akitaka kutembelea makumbusho ya olduvai atapaswa kulipia tena. Akitaka kulala kwenye Hoteli iliyopo ndani ya Hifadhi atalipa kitu kinachoitwa season camping fee 50$ na hapo bado unapaswa kulipia gharama za lodge/hoteli.

Sasa kuna watu hamjui ni nini kinakwamisha utalii wetu.

Kama serikali itataka kuzalisha ajira nyingi kupitia utalii basi haina budi kukusanya kodi kwa njia ya indirect tax na sio kufanya biasha.
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Unaongea mambo muhimu sana,
 
Hongera Mama Samia,
 
Na vipi ni ya ngapi kwa mapato yanayotokana na utalii?
 
Tunakwama kwenye utalii kwenye haya:

1. Lack of professionalism- kujua hoteli zinaendeshwaje, kutangaza utalii, kukosekana na huduma za kuisaidia sekta kama shirika la ndege lenye kwenda kwenye catchment areas za watalii, kukosekana kwa investors wa ukweli kwenye eneo la mahoteli.

2.Wizara ya Mali Asili na Utalii / Utamaduni- kushindwa ku- identify mambo ya msingi ya kiutamaduni ambayo yatakuwa icon ya nchi, naona tumeamua kutangaza tu wamasai na kusahau kwamba kuna vitu kibao vya kitamaduni vya kuonesha dunia

3. Kushindwa kwa wizara ku- promote local tourism ya watu kutembelea vivutio vya ndani. " Charity begins at Home"- kama sisi wenyewe hatuthamini vya kwetu nani atadhamini?
 
Acha ujuaji mkuu vivutio sio sababu ya kua na idadi kubwa ya watarii ebu angalia nchi 5 bora zinazoongoza kww watalii weng km utaikuta ata iyo Brazil
Marekan ndo nchi inayoongozq kwa kupata watalii weng sasa tueleze ww marekan ina maliasili na vivutio vingap

Watalii wanaletwa na mipango mizuri sio idadi ya vivutio mkuu
 
Awesome
 
Umeandika vitu vizuri sanaa
 
We proud on you mama
 
Unayohoja,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…