Tanzania ya pili duniani kwa vivutio asilia vya utalii, tulikwama wapi?

Wanasiasa wa Tanzania siwaamini kabisa.

Baada ya gas kugundulika huko kusini, Kikwete alituambia mitambo ya kufua umeme kwa kutumia gas ikikamilika umeme ungeshuka bei..mpaka leo tunasubiri.

Huyu mama naye ni wale wale tu.

Hili swali la tulikwama wapi ni la kipuuzi tu. Tanzania imekuwa maarufu sana kiutalii baada ya ujio wa Bush na Obama miaka takriban 10 iliyopita. Lengo lao wakati huo walikuwa wanatafuta kiwanja cha kujenga kituo cha kijeshi cha kamandi ya Afrika ambacho sasa hivi kiko Ujerumani ambako ni mbali sana kutoka Afrika. lakini hawa wapuiga debe kila sikua wanadanganya watu kama vile leo ndiyo mara ya kwanza tanzania kuvutia watalii. Hawa ndio wale wale kweli kweli hasa jinsi wanavyoeneza propaganda za uwongo kila siku hapa JF kiasi kuwa wamei-dilute sana JF siku hizi.
 
Kunaukweli flani hapa
 
Wonderful,
 
Daaah
 
Royal Tour inajibu kwa kasi sana,
 
Ni swala la muda tu kila mtu atakubali kazi za Mama
 
Kila kitu ni mipango na determination. Tukiamua kuwekeza kwenye utalii tunaweza kufanikiwa. Shida ni kuwa tumeridhika na hao wanaokuja japo hawatoshi. Sasa tuna ndege za abiria nzuri tu. Tutafute routes za kuwafikia huko waliko kwa kwa discount kidogo ya nauli. Leo wenzetu KQ wanatangaza utalii kwa kutumia ndege japo wao wako mbali na sisi lakini vivutio vingi na vizuri viko kwetu. Tunaweza kushindana nao kwa ndege zetu chache. Tuboreshe mifumo na taratibu zetu zinazohusu mambo ya vibali vya kuingia nchini. Usalama kwa wageni wawapo nchini na mengine mengi. Tuna uwezo wa kushindana kuvutia watalii hata na hizo beach za Brazil na Bali tukiamua.
 
Unahoja ya maaana sana hii
 
Nimekusoma mkuu,
 
Pamoja na kubwabwaja maneno meeeengi hata sijaona point hapo tofauti na kumsifia Samia mara viva mara kahuna kama Samia nk. Eleza faida ya hii tour kidunia na Mimi maana yake na mpaka sasa imefikia wapi na je matunda yake niyapi?

Sio Siri umedadavua Sana ufaransa na Brazil lakini nchi yako imekushinda.

Huna point.
 
Daaah
 
Point Sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…