Tanzania ya pili duniani kwa vivutio asilia vya utalii, tulikwama wapi?

Haya ndiyo matatizo ya nchi yetu, kwa sasa tumegeukia Utalii kama njia ya kunyenyua uchumi wetu baada ya viwanda kushindikana.

Kila awamu na priority yake, hapa ndipo tunapokwamia - hatuna mwendelezo wa hizi awamu unaosimamiwa na sheria.
Hebu eleza wewe kama CHADEMA ukipewa hii nchi utafanya mambo gani?
 
Gharama kubwa Sana za kutalii sababu ya kodi, maslai duni kwa waajiriwa wa sekta nzima ya utalii kuanzia airport, hotelini, mbugani, nk.
 
Mapendekezo yako ni yepi?
Ondoa baadhi ya kodi kwenye kutalii mfano vifaa vya mbugani,Mimi napinga Sana mambo ya bei mbili kwenye utoaji huduma wakati kiwango cha matumizi ni kile kile ukienda hotel, mbugani,boat za kwenda zanzbar kuna bei ya foreigners na bei ya watz huu ni ubaguzi kabisa, nini hii sasa. Toka airport to city center mgeni atachajiwa dollar 50 hadi 200, wakati mbongo analipa elf 25.
Mfano kutalii Morocco gharama ni mara 5 chini ya kutalii Tza, wakienda maduka ya utalii wanabamizwa bei hatari,tena wauzaji awataki kabisa waone mgeni kaambatana na mbongo wanajua mbongo ataharibu bei,kitu cha elf 10 wanabamizwa hadi dollar 50 huu ni wizi kabisa.Bei ziwe flat rate kwa wote mbongo umekuja kwa basi au mguu mwenzake kalipa ndege milioni 3 kuja bongo.
Mbona tukienda kwao kwenye huduma zao hawana bei mbilimbili.
 
Hebu eleza wewe kama CHADEMA ukipewa hii nchi utafanya mambo gani?
Nitaendeleza mazuri ya waliotangulia kuanzia enzi za Mjerumani hadi awamu ya sita lakini mabaya kama utekaji na unyanyasaji hayotokuwepo kamwe kwenye utawala wangu.
 
Huyu mama anafanya vitu vikubwa sana,

TUACHE UNAFIKI,
 
Kumekucha Zanzibar,
 
Royal Tour Film ni hatari duniani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…