CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #41
Gharama zetu ziko chini sana, Mfano Lodge pale Serengeti ni Tshs 5,000.Kweli kabisa, tatizo letu ni
-poor infrastructure--mahoteli mabovu, huduma mbovu, barabara mbovu....
nchi yenye magaidi sidhani kama inaweza pata watalii
Good commentUmeongea kitu cha msingi Sana, Wenye namba ya Mama mpelekeeni hii comment
QUOTE="Red Giant, post: 40207894, member: 73501"]
Nafikiri kila taasisi na kila mtu anatakiwa kushiriki kuendesha na kufaidika na biashara ya utalii. Hapo ndipo tutaukuza. Utalii isiwe kazi iliyohodhiwa na TANAPA na TTB tu
Viva CCM, VIVA SAMIA,
MAMA NA MAONO, KWAULICHOKIANDIKA ANACHOKIFANYA MAMA NAKIPA TANO,
SAMIA ANAKURA YANGU 2025
Hahaha Katiba inataka 10 toNATAKA SAMIA WALAU TUMPE MIAKA 20 TU
MAMA ANAMAONO MAKALI SANA
KWELI TANZANIA KWENYE UTALII TUMESHINDWA
NASEMA NAMTAKA SAMIA MPAKA 2040
Tatizo la nchi hii serikali iko busy kung'anga'nia fursa ambazo zilipaswa zifanywe na sekta bnafsiNafikiri kila taasisi na kila mtu anatakiwa kushiriki kuendesha na kufaidika na biashara ya utalii. Hapo ndipo tutaukuza. Utalii isiwe kazi iliyohodhiwa na TANAPA na TTB tu...
Wazawa kula yenyewe shida wataweza kweli kutembelea vivutio vya utalii?CM 1774858 ,
..katika andiko lako umesema 80% ya watalii wanaotembelea vivutio vya Brazil ni WAZAWA...
Si kweli ufahamu wa vivutio vya utalii ni mkubwa huko nje, tatizo letu ni huduma na ubunifu, mapato ya utalii yanatokana na siku anazokaa mtalii kwenye nchi husika na akikaa siku nyingi ndivyo mapato yataongezeka.Are your sure watu wanavifahamu vivutio vilivyopo Tanzania?
Polisi kumsumbua Tour Operator kuna mzuiaje mtali kurudi tena...
Inawezekana, kwani basi isiongoze Thailand ambako sex tourism ni kubwa kuliko Brazil?Brazil kitu kingine kinachochangia wapate watalii wengi ni sex tourism na km mnavyojua brazil ilivyobarikiwa kuwa na wasichana warembo. Vidume vyenye uchu kila mwaka vinaenda kuchuja sehemu ambayo kupata mwanamke sio kitu kigumu
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Wazawa kula yenyewe shida wataweza kweli kutembelea vivutio vya utalii?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Utalii sio priorityCM 1774858 ,
..katika andiko lako umesema 80% ya watalii wanaotembelea vivutio vya Brazil ni WAZAWA.
..Tatizo letu Tanzania ni kwamba tunapozungumzia utalii tunalenga 100% watalii wanaotoka nje...
Ni kweli kwa watu wa chini..lakini amini nakuambia hata hao wenye kipato cha unafuu ambacho kinawapa ziada ya kufanya utalii...hawafanyi hivyo kwa sababu si utamaduni wetu...ni kama alivyowahi sema hayati Nyerere wakati wa ile Arusha declaration.Utalii sio priority
kwa wTz wengi, watu wanakosa pesa ya chakula tena uambie watalii hiyo pesa haipo
Mtzania gani wajuu kwa kipato atakae pendelea kutalii mkoani aliko zaliwa na kusomea badala ya kukwea pipa Dubai, London Johannesburg nk.....kuna vitu ni impossible kwa ss wazawaNi kweli kwa watu wa chini..lakini amini nakuambia hata hao wenye kipato cha unafuu ambacho kinawapa ziada ya kufanya utalii...hawafanyi hivyo kwa sababu si utamaduni wetu...ni kama alivyowahi sema hayati Nyerere wakati wa ile Arusha declaration...
Mtzania gani wajuu kwa kipato atakae pendelea kutalii mkoani aliko zaliwa na kusomea badala ya kukwea pipa Dubai, London Johannesburg nk.....kuna vitu ni impossible kwa ss wazawa
Wako wengi sanaYes hoja yako safi sana,
Royal Tour itastimulate pia soko la ndani la Utali,
Kuna watu wako Tanzania hawajui hata Serengeti iko Mkoa gani?
Mkuu sio lazima uende uliko zaliwa hii nchi imejaa historia ya kutosha, mfano tumesomeshwa mengi juu ya historia ya hii nchi kwanini mfano usitamani siku moja kwenda kuangalia jiwe alilokanyaga Mwanamlundi wa Usukumani na kuacha nyayo, kwanini usitamani kwenda kuona nyao inayosemekana ni ya binadamu wa kale zaidi kule Ngorongoro, kwanini usitamani kwenda Kigoma kuona ziwa refu kuliko yote Afrika na la pili Duniani, kwanini usitamani kwenda kule Udzungwa kuangali water fall ndefu kuliko zote Tanzania, na Nyani wanaopatikana Tanzania tu na si kwingine kokotte duniani? mambo ya kutamani kutalii hapa hapa Tanzania ni mengi sana na sio kukimbilia Dubai kuangalia Bujri Kharifa au ile Aquarium kubwa kabisa ambavyo vyote ni manmade, kwanini uone kwenda Eiffel Tower Ufaransa ni bora sana kuliko kwenda kuangalia magofu ya Kilwa, kwani uone kwenda beach za Ibisa Hispania ni bora kuliko kwenda beach za Zanzibar...mkuu ni utamaduni wa fikra tu!Mtzania gani wajuu kwa kipato atakae pendelea kutalii mkoani aliko zaliwa na kusomea badala ya kukwea pipa Dubai, London Johannesburg nk.....kuna vitu ni impossible kwa ss wazawa