Clemence Baraka
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,694
- 650
HASWAAA. HAKUNA JINGINE ILA BEI ZETU ZINATISHA. NENDA KENYA UONE BEI ZA MAHOTELI ZILIVYO. HATA HIZO FEES ZA PORI, MT KENYA ZIKO POA UKIFANANISHA NA TZ.Shida Tanzania ni bei ghali ya kutalii.
Nilienda Zanzibar juzi kati hapa kihoteli cha ajabu kabisa gharama 100k.
Tanzania gharama za utalii ziko juu sana.
Hizi tozo kodi na gharama za juu za utilities kama simu umeme maji, na fractuation ya bei ya mafuta na chakula ina fanya mtanzania wa kawaida kuwa na low dispesable income..... kitu ambacho kinafanya purchasing power yake kuwa very low......kwa hiyo anakua selective kwenye ku-spend vitu luxurious kama utalii wandani hawezi kuvipa prioty, serikali ya CCM paka ilaisishe maisha ya wananchi wawe na extra Income ndo utalii wandani ufanikiwe...it is not impossible.
..tunatakiwa tu-promote utalii miongoni mwa wazawa.
..pia hili suala halitakiwa lifanyike kwa mtindo wa "zimamoto."
..tuanze kushawishi Watz wanaokwenda kula raha Dubai, J'Berg, nk baadhi ya utalii wao wafanyie hapa nyumbani.
Umemaliza mkuuHuduma zetu ni mbovu...
Wakaribishaji wetu (Port of Entry) ni wabovu, wana lugha chafu, hawajali, wapenda kitu kidogo
Polisi wetu huwasumbua sana Tour Operators
Wizi
Ubovu wa miundombinu kuanzia wanapoingia nchini hadi huko kwenye Utalii penyewe
Fukwe zetu ni chafu sanaa
Siasa zetu ni mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza mkuu
Nadhani wewe pia hujui kwamba vivutio vya utalii vinavyopendwa na kutembelewa zaidi ni man-made na sio vile vya asili kama tulivyonavo sisi.Hii hesabu umetoa wapi? Unamaanisha mtu atoke Mexico aende Australia kwenye fukwe za bahari hiyohiyo?
Watalii wengi wanataka kuona vitu vya asili fukwe ziko kote duniani,
Acha kudanganya
Shida Tanzania ni bei ghali ya kutalii.
Nilienda Zanzibar juzi kati hapa kihoteli cha ajabu kabisa gharama 100k.
Tanzania gharama za utalii ziko juu sana.
Huduma zetu ni mbovu...
Wakaribishaji wetu (Port of Entry) ni wabovu, wana lugha chafu, hawajali, wapenda kitu kidogo
Polisi wetu huwasumbua sana Tour Operators
Wizi
Ubovu wa miundombinu kuanzia wanapoingia nchini hadi huko kwenye Utalii penyewe
Fukwe zetu ni chafu sanaa
Siasa zetu ni mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app
..tuanze kushawishi Watz wanaokwenda kula raha Dubai, J'Berg, nk baadhi ya utalii wao wafanyie hapa nyumbani.
Mkuu Dubai unapajua?
..sisemi watu wasiende Dubai.
..napenda watembelee vivutio vya hapa nyumbani, pamoja na vya dubai.
Nadhani wewe pia hujui kwamba vivutio vya utalii vinavyopendwa na kutembelewa zaidi ni man-made na sio vile vya asili kama tulivyonavo sisi.
Vivutio kama Mapiramid ya Misri, Ukuta wa China, mnara wa Eiffel kule Ufaransa au Taj Mahal India na kadhalika.. Kila kimoja hutembelewa na makumi ya mamilion ya watalii ukilinganisha na watalii milioni 1 au mbili ambao hutembelea jumla vivutio vyote vya bongo.
Shida sio hii shida ni promotion haikuwepo,
Lazima tuishukuru sana Royal Tour ya Rais Samia,
βπ»βββπ―%.
Royal tour kwanza ingeanza na "Royal overall tourism structural reforms".
..it is not impossible.
..tunatakiwa tu-promote utalii miongoni mwa wazawa.
..pia hili suala halitakiwa lifanyike kwa mtindo wa "zimamoto."
..tuanze kushawishi Watz wanaokwenda kula raha Dubai, J'Berg, nk baadhi ya utalii wao wafanyie hapa nyumbani.
Vinaweza kwenda pamoja.
Hata kidogo, ni lazima kimoja ki pave the way kabla ya kingine, huwezi kukaribisha wageni waheshimiwa katika nyumba unayoikarati ni lazima ufanye ukarabati kwanza na halafu ndipo uwakaribishe ili wakiondoka wanakwenda kukufanyia "Automatic royal tour" kwa watalii wengine huko kwao baada ya kuona tourism infrastructures zako zilivyokuwa nzuri, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza Wahenga walisema.
The madam Royal tour = kibaya chajitembeza.
The Automatic Royal tour= kizuri chajiuza.
Basi tutasubiri sana, wakati inabidi kwenda kwa kasi.
Unaweza kuwakaribisha wageni kwa kile chumba kilichoisha na ukawaonyesha nyumba ikiisha itakuwa na mwonekano upi. (Sell the dream)
Hii promotion ni mwanzo mzuri, lakini bado sana. Tanzania inatakiwa kujitangaza kwenye mambo makubwa tena mara kwa mara. Mfano kwenye World cup, Champion league, Olympic, US open, Wimbledon, google adverts, huko insta, youtube, twitter website za maana.
Kuwe na special channels inayoonyesha vivutio vya Tanzania. Pia inabidi kuwatumia watu maarufu duniani, PR companies, offers mbalimbali.
In a war retreating is not surrender rather a strategy for an offense. Retreating ni sawa na kujipanga kwa ajili ya mashambulizi.
Tuseme tuko vitani, katika hali hiyo ni lazima tukae chini na tujifunze wenzetu wamewezaje na tuchukue hatua gani kuboresha.--- hicho ndicho wenzetu wamekuwa wakifanya.