Tanzania ya pili duniani kwa vivutio asilia vya utalii, tulikwama wapi?

Mkuu kwanini useme "Huduma zenu " badala ya "Huduma zetu " wewe sio Mtanzania?
 
Hii biashara ya utalii tunaifanya kwa kuungaunga tu, no professionalism. Kuna utalii wa mikutano(conferences) ambao sasa hivi Rwanda ndio anafanya sana, unaifungua Rwanda duniani.l, sisi tuna kila fursa za kufanya vyema ila tuko usingizini.
Hebu sema tufanyeje mkuu?
 
Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidi

Wewe ni wawapi?
 
Wanasiasa wa Tanzania siwaamini kabisa.

Baada ya gas kugundulika huko kusini, Kikwete alituambia mitambo ya kufua umeme kwa kutumia gas ikikamilika umeme ungeshuka bei..mpaka leo tunasubiri.

Huyu mama naye ni wale wale tu.
👇🏿👇🏿👇🏿


Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
Safi sana mama Samia,
 
Katiba tu inatushinda hadi tunatiana jela, hili la kuvutia watalii ndio tutaliweza?

Nchi watu hatupendani tumekuwa kama kijii cha wachawi.

Mungu wa bariki Tanzania.
Tanzania inahitaji toba ili kurudisha upendo na mshikamano aliutuachia Mwalimu.
Hapa suala tunaongelea utaliii, Katiba imekujaje hapa
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…