Tanzania ya pili duniani kwa vivutio asilia vya utalii, tulikwama wapi?

Wanasiasa wa Tanzania siwaamini kabisa.

Baada ya gas kugundulika huko kusini, Kikwete alituambia mitambo ya kufua umeme kwa kutumia gas ikikamilika umeme ungeshuka bei..mpaka leo tunasubiri.

Huyu mama naye ni wale wale tu.
Uongo mtupu huu
 
Hatukuwa na Royal Tour
 
Kunasehemu tulikwama, Hongera Rais Samia kutunasua
 
Vile vile Tanzania ni ya pili kwa wingi wa mifugo DUNIANI, ya kwanza ikiwa Ethiopia. Hii ni kutokana na ukweli kuwa nje ya Afrika, hakuna pahala pengine DUNIANI palipo na mifugo mingi yenye kuzidi idadi ya ile iliyopo Tanzania au Ethiopia
 
Nakupenda Tanzania yangu
 
Nchi imefunguka kwelikweli
 
Vile vile Tanzania ni ya pili kwa wingi wa mifugo DUNIANI, ya kwanza ikiwa Ethiopia. Hii ni kutokana na ukweli kuwa nje ya Afrika, hakuna pahala pengine DUNIANI palipo na mifugo mingi yenye kuzidi idadi ya ile iliyopo Tanzania au Ethiopia
Habari njema kabisa hii
 
Tutafika tu
 
Kwasababu hivyo ni vya asili mkuu,
sawa lakin vivutio vya utalii sio lazima viwe vya asili pekee na ndio hapo wenzetu wanapowin, wengine huenda marekani kutembelea hollywood au uingereza kuona kasri la malkia
 
hata ingekuwa ya kwanza, Mtu ana chuki anaita watu mabeberu, haya sasa MATAGA waende wakatalii watuletee fedha za kigeni.

MATAGA , anzieni BURIGI CHATO, na KITULO mtuletee fedha za kigeni, tafadhali.mpige na selfie.
 
Mungu atafanya zaidi tuendelee kumwomba tu,
 
Unajua kitu, Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…