Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Tanzania inashika nafasi ya tatu katika orodha ya nchi waagizaji wakubwa wa nguo za mitumba barani Afrika, ikiwa na thamani ya $148 milioni kwa ripoti ya mwaka 2022.
Biashara hii imeendelea kukua kutokana na mahitaji ya nguo nafuu na ubora wa bidhaa zinazozalishwa kutoka nje. Kenya inashika nafasi ya kwanza kwa kuagiza nguo za mitumba, ikifuatiwa na Ghana.