Tanzania ya Tatu kwa kuagiza nguo za Mitumba barani Afrika

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Tanzania inashika nafasi ya tatu katika orodha ya nchi waagizaji wakubwa wa nguo za mitumba barani Afrika, ikiwa na thamani ya $148 milioni kwa ripoti ya mwaka 2022.

Biashara hii imeendelea kukua kutokana na mahitaji ya nguo nafuu na ubora wa bidhaa zinazozalishwa kutoka nje. Kenya inashika nafasi ya kwanza kwa kuagiza nguo za mitumba, ikifuatiwa na Ghana.
 
Hii ni pole kwa nchi ...inaonyesha jinsi gan Haina uwezo wa kutengeneza hata viwanda vidogo vidogo kwa ajiri ya nguo za kawaida
 
da !! natamani kuhamia kenya!!
 
Tuendelee kupiga pamba used......hata magari tunayo used ....mpenzi used....Kwa kifupi sisi ni wazee wa viliyoishatumika.

WAZEE WA MAKOMBO!

Ni mwendo wa kula Makombo tu.
 
Burundi, malawi, ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…