Tanzania ya viwanda 100 kila mkoa vimejengwa vingapi?

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,396
Reaction score
4,080
Wadau Mwenye kujua Tanzania ya VIWANDA imejenga Viwanda vingapi kila Mkoa Atujuze Tuliahidiwa kuwa Kila Mkoa ujenge Viwanda 100 lakini Wahusika Hawatupi Mrejesho hata Hatusikii KUWEKWA Mawe ya Misingi au KUZINDULIWA hivyo VIWANDA.
 
Viwanda 100 kila mkoa ulikuwa ulaghai wa Magufuli kwa wananchi kupitia Suleiman Jaffo.

Yule baba alikuwa mwuongo hatari sana
 
Ule ulikuwa ni utapeli wa hali ya juu, hata ilipofika kipindi cha kampeni magufuli hakuthubutu kutamka neno viwanda.

Cc: Jingalao
 
Inamaana huoni Meridian , Betpawa na akina Throne ?😂😂
#CCM na Polifics
 
Wadau Mwenye kujua Tanzania ya VIWANDA imejenga Viwanda vingapi kila Mkoa Atujuze Tuliahidiwa kuwa Kila Mkoa ujenge Viwanda 100 lakini Wahusika Hawatupi Mrejesho hata Hatusikii KUWEKWA Mawe ya Misingi au KUZINDULIWA hivyo VIWANDA.
Hao walipigwa pipe na popobawa wametoweka na viwanda vyao vya mchongo
 
Chaharani 5 ukiwa navyo si mliambiwa kiwanda

Machine ya kusaga nacho kiwanda

Labda wali base kwa muundo huo

Ova
 
Wadau Mwenye kujua Tanzania ya VIWANDA imejenga Viwanda vingapi kila Mkoa Atujuze Tuliahidiwa kuwa Kila Mkoa ujenge Viwanda 100 lakini Wahusika Hawatupi Mrejesho hata Hatusikii KUWEKWA Mawe ya Misingi au KUZINDULIWA hivyo VIWANDA.
labda viwanda vya gongo
 
Back
Top Bottom