Hao walipigwa pipe na popobawa wametoweka na viwanda vyao vya mchongoWadau Mwenye kujua Tanzania ya VIWANDA imejenga Viwanda vingapi kila Mkoa Atujuze Tuliahidiwa kuwa Kila Mkoa ujenge Viwanda 100 lakini Wahusika Hawatupi Mrejesho hata Hatusikii KUWEKWA Mawe ya Misingi au KUZINDULIWA hivyo VIWANDA.
labda viwanda vya gongoWadau Mwenye kujua Tanzania ya VIWANDA imejenga Viwanda vingapi kila Mkoa Atujuze Tuliahidiwa kuwa Kila Mkoa ujenge Viwanda 100 lakini Wahusika Hawatupi Mrejesho hata Hatusikii KUWEKWA Mawe ya Misingi au KUZINDULIWA hivyo VIWANDA.