Tanzania ya viwanda, hongereni

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kule Tanzania mkuu wa wilaya amezindua kiwanda cha kutengeneza dushe bandia za wanaume almaarufu kama dildo, hii itasaidia sana haswa kwa wanawake wa Tanzania waliokua wanakosa huduma hadi kutumia tumbaku, maana wanaume kule wamekua ovyoo.
 
Aaaw Booy. Danganyikans should just do stand up comedy. In btw Dushe enyewe ni nyembamba ndogo
 
Please mods, this is disgusting. Could you please do us a favor to trush it.
 
MK254 uwe mstaarabu kutoa onyo kwenye picha kama hizi ili mtu kabla ya kufungua ajitahadhari, wengine tuna watoto.

Bro hii imezinduliwa na mkuu wa wilaya kabisa tena amekenua meno, sasa huko ndiko mngeelekeza hasira, lakini kuizuia kwenye mitandao hamtofaulu maana imezagaa, sasa hivi utaikuta Nigeria forums.
 
Halafu wanapambana na ushoga wakati wanaonyesha dhahiri kuwa hawana uwezo wa kuwaridhisha wanawake kingono!

Literally wanauambia ulimwengu "wanawake zetu wajitosheleze wenyewe"
 
MK254 uwe mstaarabu kutoa onyo kwenye picha kama hizi ili mtu kabla ya kufungua ajitahadhari, wengine tuna watoto.
Yaani huna hamu kabisa ya kuona watoto wako wakijawa na uzalendo kwasababu ya mafanikio ya nchi yao ya viwanda? [emoji1]
 
Maana ya kutengeneza hivi vitu no nini: kwamba wanaume wakitanzani majukumu yao ya faraghani yamewashinda? Mbona hizo fedha hazikutumika kuanzisha kiwanda cha kutengeneza vitu vyenye Tina na umuhimu kwa wananchi. Kama viwanda ni hivi, Tanzania kuna kazi ya kufanya.
 

Hata kiwanda cha kutengeneza matofali ingekuwa Afadhali
 
hongera dada luangalila, nakutakia kila la kheri katika mafanikio ya nchi yako. natumai umeshajinyakulia yako.
hongera tena na tena
 
A reason I sometimes Hate media, Media siku hizi zina misinform sana aisee.

Ilikuwa ni Demonstration ya Uvaaji Wa Kondom mzee,
Mbona hizi models hutumika mara nyingi kwenye matamasha kama haya,
Msiwe wakurupukaji mazee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…